×
TAFUTA
Mahali Salama pa Kuchunguza Maswali
 jinsi unavyoweza kumjua Mungu

Kuhusu tovuti hii

Lipotumaini.com ni mahali salama pa kuchunguza na kuuliza maswali kuhusu Mungu ni nani na nini maana ya kumjua Mungu.

  • Tunaheshimu faragha yako. Tunatumia vidukuzi, lakini tofauti na tovuti nyingi zinazotumia vidukuzi, hatutakusababishia kutumiwa matangazo au barua pepe zisizotarajiwa ukitembelea lipotumaini.com. Unakaribishwa kutembelea lipotumaini.com mara moja na hutasikia kutoka kwetu tena.

  • Hatuuzi bidhaa zozote. Wala hatuonyeshi matangazo yoyote kutoka kwa wengine.

  • Unaweza kujisajili bila malipo kupokea barua pepe zetu bila mashaka. Hatushirikishi (au kuuza) anwani yako ya barua pepe, hata kidogo.

Jambo la msingi...tunataka uweze kuchunguza na kuuliza maswali yako kuhusu maisha na Mungu, ukiyaweka chini ya udhibiti wako, si wetu. Kila makala na video inaelezewa kwa uaminifu, ili kukusaidia kutumia muda wako katika jambo linalokuvutia kibinafsi.


 Jinsi ya kuanza uhusiano na Mungu
 Nina swali…

SHIRIKISHA WENGINE
WhatsApp Share Facebook Share Twitter Share Share by Email More